[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshee mie, khaaah
Msahafu 😌duh, mahari shingapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu niwachee kwanii, mbavu zinauma kwa kuchekaa.Hataki hata kuisikia selfika jana kashindia Pepsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Humu kuna kila aina ya burudani, kuna mtu nimepata picha zake nyie khaaaaaaa!! Selfika oyeeeeee!!
Yote haya umenisababishia wewe kunileta huku, umeniongezea maadui udugu
Umenitajia minyama hadi udenda umenitoka, unajua Babu yako ninavyopenda nyama nyingi[emoji39]
Bahati nzuri Wajukuu zangu wote nilishakula mahari zao [emoji2957]
msahafu ndo nini😁 mi mshambaMsahafu 😌
Mshamba -hachekwimsahafu ndo nini😁 mi mshamba
Hey famz!!!
Nauza hii I'd yangu, bei nafuu yaan sawa na bure kabisaa,
Wahi sasa ujipatie I'd kubwa na maarufu kwa bei nzuri, si ya kukosa.
Kwa mawasiliano zaidi check PM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu usiniharibie biasharaa.Penseli akiuza yake nishtue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inaonekana ina vitu vingi sana
Nasema hapanaaa😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maelezo ulizingatia uduguuu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu niwachee kwanii, mbavu zinauma kwa kuchekaa.
Nauza I'd, nataka kuhama Jf Mazimaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na babee zetu mjinii.Nasema hapanaaa[emoji16]
Watu na shemeji zetu mjini
Wee babuu hako kadoti umeficha misuliiii😊!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu usiniharibie biasharaa.
Nafanya mauzo mwenzio, mxxiiieeew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Mjep ndo anafanya nitokee JF, kasema kuanzia sasa hatonipa vocha na hana.Uza uone km ujafa na njaa, mjep wa kukuhonga vocha za bure utamkuta wapi?? Na burudani za babu wetu wa bush utaziona wapi?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasema hapanaaa[emoji16]
Watu na shemeji zetu mjini
Babuu wa bush yupii tenaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi babu wa bush akiuza nishtue [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee babuu hako kadoti umeficha misuliiii[emoji4]!!
Hebu sogeza Kamera kulia nione vizuri vidole mieee!!
Nougaaa sana babuuu rangiii kidevuu [emoji108][emoji2956]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Mjep ndo anafanya nitokee JF, kasema kuanzia sasa hatonipa vocha na hana.
Sasa si bora niuzee, nipate pesa nipite hiviii.
Nimeskia Kuna mrembo alituma selfie zake then mtu akachukua akamtumia mtu mwingine pm hukoKumetokea nini mrembo?
Babuu wa bush yupii tenaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili inawaza mauzo tyuuh hapa. Nitafutie wateja huko, eboooh