Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwakweli hali ni mbaya muhimu tuache kunafkiana humu Yani tunadhalilishana sijui Figo hivo vitu vya kumsimanga binadamu mwenzio kweli Tena ni vya uongo
 
Bro Ume zungumza kwa uchungu, natamani tuandae PAMBANO mkutane😁
 
Tutawaacha na Jukwaa lao la Selfika

Ngoja turudi kwenye majukwaa yetu ya Historia, maana bora tuwaandikie Vijana yale tuliyopitia miaka ile tunadai Uhuru wa Nchi kuliko huku kuchafuana wanakofanya.

So painful 💔
 
Hiii ni serious issue hawa watu hawana kazi za kufanya[emoji28]

Waarabu wakija wawachukue na hawa wakawe watumwa Mxxiewwww!! Yaani mtu anaacha kuwaza kutafuta chakula cha familia yake, katulia anapanga list za kingese kuzushia watu!!
Afu ni midume yenye midevu na mijike ilioingia hedhi inakaribia kukoma inatulia inatunga story kwa chit chat za selfika!!!! [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]

Serikali waongeze tozo bundle zipande au warudishe kodi ya kila kichwa watu wawe serious na maisha humu [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…