Selfika na JF: Snap it. Show it

Cute mimi kama mimi ugomvi siuwez hasa mambo ya kusutana nime observe kuna watu hawapendi kuona watu wakicheka vzr kuhusu mm kugeuza maneno ya kumtambia country kuwa nimekutana na wewe ilo nililosolve na niliongea kama joking lakini baada nikafuta

Mm huwa naongea utani sana sana kama jana hapa nimesema mjep kaniazima 70k lakin mm nilionge for joking ndio maana walicheka tu yey na national

Hakuna kitu kinaumizaga moyo kama maneno so pleas naomba njoo pm tuyamalize
 
Cute Wife pacha una itwa muya malice na Mwachiluwi 🤒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…