Selfika na JF: Snap it. Show it

@Mwachiluwi umetajwaaaaa njooo hapa, ndo nilikua nakutakaa sanaa wee,

Ahsanteee, mtejaa wangu nshampataa ntadeal nae keshoooo.

Weraaaaaa weraaaaaaa.
 

Huyu wa kwanza
maneno yapi ya cute kukazwa na Jack sasa hapo??!!!

Tapika baba tulale tuwahi kuuza vijora mana tunahangaika kweli kupata pesa afu ma sponsor wapo humu tunapewa afu hatujui
 
Mbona barakah kipaji anacho😁, sema team Zime muua tu??
πŸ‘‰Hit songs ka zote, siwezi, acha niende,
πŸ‘‰Siachani nawe, nisamehe ft kiba
πŸ‘‰Nivumilie ft Ruby, some times
Jamaa ana jeuri sana na anaionesha kiasi ambacho mimi siwezi , kipaji sawa Ila personality hapana 😁
 
hapa kila giza likemewe.. na kila wanaochochea maugomvi wakemewe tunataka kijiwe chetu kiwe safii kama zamani.. banaa
If you accuse me, you will never be steady.
I will bewitch you, so you shall never use your small leg. which has a small headπŸ€’πŸ˜.
πŸ‘‰ National Anthem πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ƒ
 
Huyu wa kwanza
maneno yapi ya cute kukazwa na Jack sasa hapo??!!!

Tapika baba tulale tuwahi kuuza vijora mana tunahangaika kweli kupata pesa afu ma sponsor wapo humu tunapewa afu hatujui
uduguuuuu sikuweziiii kwa kweliiii. Khaaaah utakausha watu kizaziiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…