Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa nikuambie boss wako pale hawezi sema chochoteee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Km mie muongo, muambie kuhusu yeye asipojifanya oooh sio vizurii, msigombaneee.

Hivi unamjua Mjep weyeee? Sasa jichanganyee utaijua selfika vizuri, kaa kwa nywilaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cute Wife
cocastic
mshamba_hachekwi
Intelligent businessman

Mpakuaji au msambazaji wa picha mmoja wapo ni Penseli 4 ... mie nina mshikaji wangu JF.. niliona jamaa aliyo mtumia jamaa picha za watu.. kama kuna wengine watajani

Sasa pic yenyewe bora ingekuwa kweli yangu ni magumashi na kuunganisha dot tyuuu!!
Afu aliyeleta ni kibibi flani hivi kifupi KIBAYA vigimbi changanya sura lake [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]

Hata hiyo aliyoweka akijiweka na yeye bado anaachwa mbali sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…