Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie kumbe mna haki kunidis km sura zenyewe ndo hizo za SONGESHA [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Hivi kwani ni akina nani mnaosemana
Mbona sielewi[emoji23][emoji23]

Au ngoja nisome[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umbea huu[emoji23][emoji174]

Ila macho hayana pazia
Ngoja nisome.
 
Hii kitu imekuumiza sana lakini kwa nini usimtaje ili iwe funzo kwa wambea wengine [emoji51]

Sitoi kiki ila msg sent
Afu mbona wewe siku ile tulikubembeleza na coca umtaje yule mtu ukala njoro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyo mtu aliyepeleka pic kaenda na I’d mpya… sema nenee tuwapotezee watu wenyewe hawajiamini wanakimbilia piem za wanaume hovyo
 

Tengeneza cake utasutwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi yule aliyekuzushia na akaleta pic zako akasema mlikuwa na member wa humu ni nani??
 
mbona hawakimbilii PM zangu au kwasababy sina demu πŸ˜’πŸ˜’
 
Halafu siku ile nilikuwa nataka nichangamshe uzi wa selfika ila wewe na amini hii kitu ni kweli maana toka jana ni bora ukapotezea best😁
 
Nashukuru Mungu Ni Mwema.

Nimefurahi Pia Kukuona Naimani Unaendelea Vyema.

Yeah Kitambo Ila Tupo Pamoja Naona Uzi Wako Pendwa Umewaka Moto Ndani.[emoji23]
Mkuu kichwa kichafu,upo?
Nimefurahi kukuona Mkuu..kitambo sana sijakutia machoni humu jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…