Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Au wewe ndio gigy? Leo kaenda kanisani ukimwengu mzima tumejua

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee Gigy kaenda kanisani leo??
Wewe me muumini mzuri siendi church kwa matukio na kiki, me kiongozi wa viwawa parokiani kwetu
 
Niliona ya mdogo ake bichwa komwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mjep shem wangu wa ukweli em selfika nikuone boss wa mivoucher
Jana nimeselfikaara 2 shem
Nitaselfika mida ya wanga leo natamani niige mfano wako nashusha kitu live kwani nini bana
 
Jana nimeselfikaara 2 shem
Nitaselfika mida ya wanga leo natamani niige mfano wako nashusha kitu live kwani nini bana

Jana walinikwaza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mashetani ya kwetu yalipanda ilibaki kidogo niingie live na video nikaogopa mitama ya jamaa wa chugga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom