Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,200
Yani ni maajabu kwakweliUnaona aibu usichokijua.. huo ni uwehu.. ๐ ๐ ๐ ... acha niendeeelee kufanya yanguuu hapaaa.๐ ๐ ๐
Yani ni maajabu kwakweliUnaona aibu usichokijua.. huo ni uwehu.. ๐ ๐ ๐ ... acha niendeeelee kufanya yanguuu hapaaa.๐ ๐ ๐
mkuu shusha chini kidogo ๐๐Jiangalie wewe me nipo sana bwana nitakuachia nikimchokaView attachment 2722008
IAM serious, Niko njeee๐คwadada wa JF nime ๐๐๐... wana ma bifu.. ukiangalia kiini chake hakieleweki.. mie napenda watu wapendane.. sijawai gombana na mtu JF hata nikimkosea huwa naomba msahama.. acha nile vitu mzee
mkuu shusha chini kidogo [emoji6][emoji6]
haha National Anthem hua anajua jinsi inavyokua.Au ulilewa ukasema bill zote, zije kwako๐คฃ๐๐๐
ila wadada ndio mlivyo aise.. nashukuru Mungu siwezi mchukia mtu, au kuwa na wivu na mtu au kugombana na mtu.. nashangaa wengine wanawezaje.. ๐ ๐ ๐ .. ila umaskini nao huchangia makasiriko na uchawi wa bila tunguliYani ni maajabu kwakweli
Pacha hivyo vidole, Kama mikasi ya operation ๐๐คJiangalie wewe me nipo sana bwana nitakuachia nikimchokaView attachment 2722008
๐๐๐ sawa kaka mm sitii neniHakuna mtu nime wahi mtongoza humu JF zaidi ya utani tu.. kama yupo anitukane au ajitokeze na ushahidi.. humu naishia utani mkuu.. siwezi tongoza ID mie ๐ ๐
ndio nimekiona hapaaa kirangiii flani ๐๐๐.. rangi yako na wife kama twinNina kipensi [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Hahaha Wivu na vivuli.Watu wa humu Wana wivu sana aisee sijawah kuona
Wengine tuna njaa ndio lakini tushazoea kuongea nawatu vizuri sio hapa tu hata ukija makwetu tuko vizuri nawatu tunataniana lakini haya ya humu makubwasana ifike mahali wajitambue tu sio uungwanaNoumaaa sana yanii!
More love less ego ๐๐๐๐wadada wa JF nime ๐๐๐... wana ma bifu.. ukiangalia kiini chake hakieleweki.. mie napenda watu wapendane.. sijawai gombana na mtu JF hata nikimkosea huwa naomba msahama.. acha nile vitu mzee
vijana wale traininga hawaaa ๐ ๐ ๐haha National Anthem hua anajua jinsi inavyokua.
Huwa nabakishiwa hela ya mwendokasi tu! Yakunifikisha picha ya ndege.
Mie nawapenda wote humu alafu nawaheshimu wote.. napokosea naomba msahama.. alafu ni mtu wa watuu yaani.. sijui magomvi wala machuki ๐ ๐More love less ego ๐๐๐๐
Kalaze fuvu lako namba a๐๐๐คฃ๐คฃ๐Antonnia hajiaminii mbona wao wamefyanta saii na wengine wanaleta unafiki tyuuu !!Wanasubiria tukishatoka hapa ndio utawaona bwahahahahahahahahah!!!!
Usiku mwema kwamara nyingine wapendwaaa!!
Nimeishia komenti ya 367768 nikiingia tena mnikumbushe nilipoishia๐๐๐๐๐!
Utakuja kuuza Hadi kwako๐๐๐haha National Anthem hua anajua jinsi inavyokua.
Huwa nabakishiwa hela ya mwendokasi tu! Yakunifikisha picha ya ndege.
๐ ๐ ๐ hawatoi mambo yangu, sasa mambo ya kazi bure mie ya nini banaa๐๐๐ sawa kaka mm sitii neni
Ingia pm nikurushie bomu๐ ๐ ๐ hawatoi mambo yangu, sasa mambo ya kazi bure mie ya nini banaa
Naomba mualiko ๐๐View attachment 2722016Haya sasa,tukule kwanza