Selfika na JF: Snap it. Show it

Hawamtaki wao wanamtaka Kantri tyuuu ndio anawauma km wamemzaa wao!!!! Wanaume wamejaa kibao hawawaoni mpk babe wangu


Na kasema haniachi wanavyotuma pic ndio wanazidisha kasi ya KUNIPENDA shenzy zenu
Kwakweli midango Yao Haing'ai nyota nyeusi
Kama sufuria la shughuli wanzunguka pm za watu kuchafua wenzao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Jamni eeh mjini nyota 🀣🀣🀣🀣
 
Wame tuma kweli ??, Au ndo una histrionic personality disorder πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Acha kiherehere naweee 😏😏🀠🀣!
Hio humu ipo troka kitrambo sana mbonaa!! Mie nivile sijui kugombana tyuuuuuπŸ€ πŸ€ πŸ€ πŸ€ πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ•Ί!!
 
Kwakweli midango Yao Haing'ai nyota nyeusi
Kama sufuria la shughuli wanzunguka pm za watu kuchafua wenzao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Jamni eeh mjini nyota 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Nawe kwenda ushawahi kuniona naongelea issue km hii?? Watu waache tabia za kifala sio vizuri tena kashindwa kusave kajua nitafuta faster likaamua kuscreenshot ili liliwahi kupeleka
Unajua hili swala Ina bidi tuwa alike cia,mossad na kgb.
πŸ‘‰I'll wathibitishe Kama ni kweli, au ni histrionic personality disorder Ime fika katika kiwango Cha juuπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…