National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Weee mie nakula ngoma nyepesi nyepesi sio hizi 😅😅😅
Lina sauti mbayaaaaaaaaaaa 🤣🤣🤣
Dah burna boy hamta kuja kumuelewa kamwe, jamaa ana pen ball ya kimataifa.Lina sauti mbayaaaaaaaaaaa 🤣🤣🤣
Haya kasikilize hi 🤒
Bonge la goma
Kitu cha home button
Yote maisha tu 😂😂 ila na mimi ni mmilikiKitu cha home button
National Anthem ana kuambia jamaa ana sauti mbaya, ila ujumbe ni 🔥🔥🔥🤒Bonge la goma
Ebu weka hii ngoma kwenye sound system ya maana.. alafu uje uniambie mkuu ,😊😊😊National Anthem ana kuambia jamaa ana sauti mbaya, ila ujumbe ni 🔥🔥🔥🤒
Hahaha, hakuna Harmony kama ya wasauzi mazee.🔥🔥🔥🔥... weekend inaendelea... wazee ebu sikilizeni hii ngoma kwenye Hi-Fi alafu mnipe mrejesho.. kama hujikuti unatingishila tu
View attachment 2721399 View attachment 2721400
Hapa naila kwenye power amp ni 🔥🔥🔥
The Boy Wonder
Mwachiluwi
Lenie Davinar 😅😅
Basi tuhamie huku🤒Ebu weka hii ngoma kwenye sound system ya maana.. alafu uje uniambie mkuu ,😊😊😊
View attachment 2721432 View attachment 2721433
😅😅😅 hapa nimezipanga kama 50... nanesa nesa tu gheto... mkuu!Hahaha, hakuna Harmony kama ya wasauzi mazee.
Sheeeeeh, hili ni balaaa mno.
Ngoja mikina Ikechukwu ya Nigeria iibe halafu iseme ni muziki wao... 😅🔥🔥🔥🔥 umeisikia vipi kwenye music mzuri
View attachment 2721404
View attachment 2721406
Hapa nashushia na ka Nyagi kangu 😊😊
The Boy Wonder
Badae nitakufundisha mziki mzuri ni nini mtaalamu .. 😅😅😅 hayo unasikiliza makelele na leo ni jumamosi.. banaBasi tuhamie huku🤒
View attachment 2721436
Muziki mkubwa sanaa huu.. haubiki.. kuna signature kuzi copy ni kipengele.. 😅😅😅Ngoja mikina Ikechukwu ya Nigeria iibe halafu iseme ni muziki wao... 😅