Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Tuligombana ama kulitokea kitu gani?Huyo simjui banah mimi ni T9.. Wewe ndiyo umenifanya nibadili id![]()
Tuligombana ama kulitokea kitu gani?Huyo simjui banah mimi ni T9.. Wewe ndiyo umenifanya nibadili id![]()
AimeennnDaaaah!! Walah kwa mtindo huu takufa na utamu wangu haki tena![]()
Huu nini! Unazingua atoto!!Huu sasa.
Tafsiri yenu ya usingle huwa inanichanganya sana, one could be single but with a few sex partners, partners only for sex.
Ambaye ni single na hatoi mzigo huyo ndio single, single kweli..
Na kwa nini utoe mzigooI mean kuwa single for real na sio kutoa mzigo .
Inaeleweka!! Ilà ili mradi unatoa mzigo, be it today or next-next year, we're all at risk.Kaka
Ukimwi upo na unaua!
Vumilia tu baby.Nimeomba uvumilivu baby
Sitoi mzigooo!!! Nampa nani eti jamani kaka!!Inaeleweka!! Ilà ili mradi unatoa mzigo, be it today or next-next year, we're all at risk.
...which is impossible adorabella!I mean kuwa single for real na sio kutoa mzigo .
Nani zaidi yake eti jamani
Nikwambie nani kaishika?
Hata next year hutatoa? Naona makasisi/mapadre wamepata mtawa mwingineSitoi mzigooo!!! Nampa nani eti jamani kaka!!
Mbona Unanionea mimi jamani




Huo usingo huooooo.Huu nini! Unazingua atoto!!
Nisemeeeee?Nani zaidi yake eti jamani
Yaaaniii sitoi mimi jamani kaka!!Hata next year hutatoa? Naona makasisi/mapadre wamepata mtawa mwingine![]()
Ndiwooo jamani!!Nisemeeeee?