Sasa hivi nimekuwa wa kuingia sijui selfika, mara mahusiano, sijui na wapi tena.
Sema lile jukwaa la siasa sasa hivi kuna Vimeo wengi sana, bavicha itakua wanatumia robots. Ukiwamaliza 100 leo, kesho wanarudi 200.
Kasoro sijaona dada angu, upo vizuri sana. Wife material flani hiviiNimekonda sana
Hadi namkaribia Flavi
Aisee,ngoja niongeze lishe[emoji1787][emoji1787]
Asante Mkuu
Sisi walokole Old school hata mikufu na earrings kwetu ni anasa[emoji38]
Toa na kasoro kidogo Mkuu.
Sasa hivi chadema wanatumia robots, Leo ukiwaweza 100 kesho wanarudi wengine wapya 200.Jamaa alikuwa mwamba sana.
Siku hizi amepoa.
Enzi za Magu zile [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa nikitaka kucheka naingia siasani
Najua ntamsoma jamaa,,walikuwepo na wengine wengine yaani ni mtifuano.
Hiyo iPhone nitaipata tu, rukaruka kwanzaKo nihairishe kufanya malipo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa hivi chadema wanatumia robots, Leo ukiwaweza 100 kesho wanarudi wengine wapya 200.
Ni kazi haswaa, alafu sasa hivi majukumu ni mengi muda mchache.
Amen😍Kasoro sijaona dada angu, upo vizuri sana. Wife material flani hivii
We huwajui vizuri akina Mmawia🤣🤣🤣Wala sio robots sema ss hivi mmeishiwa
Unaweza jiona hufai kwenye hii Dunia🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuja huku ni huyu wa kuitwa cute wife ndio alinileta, nimeingia huku nakutana na vipenseli, mara sijui aunt wa kipenseli, ni tafrani tu. Kila nikitaka kutoka huku cute wife ananizuiaHata mimi nilishangaa kukuona huku
Siyo pigo zako kabisa.
Hii I'd nimezoea kuisoma siasani tu.
Hebu selfika kidogo Mkuu.
Jeshi la mtu mmoja from Mbinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikikumbukaa zamaniii, aaaah now nimestaafu bhanaaa.
Yaan ilikua patashikaa mnooo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuja huku ni huyu wa kuitwa cute wife ndio alinileta, nimeingia huku nakutana na vipenseli, mara sijui aunt wa kipenseli, ni tafrani tu. Kila nikitaka kutoka huku cute wife ananizuia
Hapo kwenye selfika ndio sipawezi kabisa. Mimi huku sipo kutafuta demu
Wewe ndio umenileta huku, hebu sema nitoke uone kama ntarudi tena huku.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wivu wako ndio unaokufanya upo huku, sema ukweli
Akisema nitoke, hutaniona tena huku.Kumbe![emoji23][emoji23][emoji23]anakulinda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli abiria chunga mzigo wako.
Sema na mafisi yapo huku,acha alinde.
Aisee..Unaweza jiona hufai kwenye hii Dunia🤣
Huwajui vizuri bavicha, hao ukienda nao polepole hutaweza hata kidogo.Akiona umemshinda anaanza kutukana ki hip hop [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mtu ni mtata kuishi naye unatakiwa nawe ziruke kichwani
JiraniiiiNimekonda sana
Hadi namkaribia Flavi
Aisee,ngoja niongeze lishe🤣🤣
Asante Mkuu
Sisi walokole Old school hata mikufu na earrings kwetu ni anasa😆
Toa na kasoro kidogo Mkuu.
Wewe watu wamepewa kazi na vitendea kazi wamenunuliwa kazi yao moja tu kuanzia twitter hadi huku jf ni kupambana. Utaweza?Wala sio robots sema ss hivi mmeishiwa
Hiyo iPhone nitaipata tu, rukaruka kwanza
Unaona sasa kama huyo haijulikani analala saa ngapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akina Erythrocyte
Yupo Muda wote anatoa taarifa za mikutano ya kina Mdude.
Mara Mdude kagoma kula lockup[emoji23][emoji1787]