Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sisi kuibiwa bado sana, kwanza wanaume wenyewe wanawaficha km bhangi!!

Raha ya mume akutangaze hadharani, sio kufichwa fichwa km vuzi la mk****nd
Raha ni matunzo sio kutangazwa halafu unaachwa na njaa . Nisikilize mie mbona mie nimekusikiliza uliponitonya nisikie na mie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teeeeeenaa mama mijengo wenye waume zetu, maua umemsikia bi mkubwa
 
πŸ˜’πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ana hali mbaya muonee huruma
 
Raha ni matunzo sio kutangazwa halafu unaachwa na njaa . Nisikilize mie mbona mie nimekusikiliza uliponitonya nisikie na mie

Haya nakusikiliza ila me kuibiwa baaaadooo sana, labda Kantri nimchoke mwenyewe niwatupie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sisi kuibiwa bado sana, kwanza wanaume wenyewe wanawaficha km bhangi!!

Raha ya mume akutangaze hadharani, sio kufichwa fichwa km vuzi la mk****nd
Shem umeanza mambo yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sisi kuibiwa bado sana, kwanza wanaume wenyewe wanawaficha km bhangi!!

Raha ya mume akutangaze hadharani, sio kufichwa fichwa km vuzi la mk****nd
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa, unatolewa out kwa siri na unatambaaa?? Km kwelii wee ni mjanja weka wazi umma ujue.

Raha ya mahusiano kuwa wazi, ndugu, marafiki na wakwe wakujueeeeee.
Mnatolewa out mchana, usiku mnaachwa jamaa anarudi ndani kwa mkewee wanapanga mipango ya keshooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nchedangeee muje taratibuuuu, cheti cha ndoa ninachooo mie.
 
Haya nakusikiliza ila me kuibiwa baaaadooo sana, labda Kantri nimchoke mwenyewe niwatupie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio huyo best nani kasema huyo mie akikuacha na mpa vidonge nanina mfungia ndani nakupa ufunguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…