Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,434
Kwahiyo utaki watu wajipende?Juzi nakutana na manzi mmoja analalamika hakuna ajira na maisha magumu kweli, ila kavaa wigi la laki 7.....
Mkononi kashika Iphone macho matatu, kajipaka mipafyumu ananukia kama jini, nikasema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hewala weeh.
π π π mie sipo kwenye hilo gang lenu.. msinihusishe huko .
Mie mzima pacha wangu β€οΈPacha mambo.
Salama kabisa, sijui wewe?Mie mzima pacha wangu β€οΈ
Habari ya uzima ?
We jomba ππ€£ππ€£, una pendaππ€kuna mahali niliona umeandika unaiwekea mpaka anazimaπ€£
kama kawaaa hiyoo π πkuna mahali niliona umeandika unaiwekea mpaka anazimaπ€£
Yaani Yuko worth 2m +, Kwenye wigi na simu tuππ€£π€Juzi nakutana na manzi mmoja analalamika hakuna ajira na maisha magumu kweli, ila kavaa wigi la laki 7.....
Mkononi kashika Iphone macho matatu, kajipaka mipafyumu ananukia kama jini, nikasema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hewala weeh.
Guess nime shindwa sector hiyoπ€£πmuhimu mzeeπ
π π π hili ni ajabu kwa dar es salaam.. huwa nashangaa kuna maeneo huwa naenda .. iPhone 13 Pro au 14 Pro ukiangalia alie nayo.. bagoshaaa...
Nipo tu hapa naendelea na mapishi ya kuku za wateja πππSalama kabisa, sijui wewe?
nitoe hela ili kugundua nini π πna hela hutoi dadekiπ
Vijana wanadema dema sana, wote mna mbinu zinafanana.mwanawane mbona hatupenai taarifa kuea unejiwe kwa Cute Wife mzee
Waachaπ. Nitakuja kula nikipata pesaπNipo tu hapa naendelea na mapishi ya kuku za wateja πππ
Uduguu [emoji1787][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
Pendeze lakini shida zako usizigeuze mali ya ummah....Kwahiyo utaki watu wajipende?
Wazee wa kino boysππ€£Na
wewe ubatuobea wivu vijana wa dasilamuuu
Haya mambo ni harisi.. kuna siku nilienda site nje ya mji kufanya survey.. pale ambapo survey ilikuwa yafanyika karibu yake kulikuwa na top mganga lile eneo.. sasa wadada wa dar es salaam pale wanapishana mzee . kuchukua ndumba na kukaanga maboyaa wao... hatari sana hapa mjini hasa hawa mabinti wazuri wazuri.. na uchawi wengine wanaweka kwenye shanga.. ziguse uone mtiti wake π π π π πBasi bwana majuzi nimeenda kunyoa, likaingia lidada moja hivi linanukia kweli limepaki Crown mpya nje. Yule muhudumu wa kike wa saloon akaliita pembeni, akaanza kuliambia, eti shost ile namba ya mganga wa Bagamoyo nimeshaipata. Likasema shost ahsante hebu nipe, umeona tayari yule mwanaume kashaniachia gari hilo hapo nje, sasa ntahakikisha atamwacha hata mke wake. Likapewa namba ya mganga, likaamua kuita boda-boda alikimbize Bagamoyo, gari likamwachia yule mwenzake wa Saloon.
Nikasema Hiiiiiiiiii Bagoshaa, kuna mwamba ashalizwa na hili tandam. Haya ndiyo maisha ya Darisalamu....
Litoto limepaka sunscreen limekuwa na rangi ya Cappuccino, nadhani hata Perfume lililopulizia itakuwa ni hela ndefu maana ilibaki kwenye nguo zangu wiki nzima. Nikasema hapa kazi ipo sana,.....Yaani Yuko worth 2m +, Kwenye wigi na simu tuππ€£π€
Mm ndio mtu ambae huwa sichukulii kitu personal. Ndio maana nakuaga straightunachukulia vitu personal bana, ni utani tu mzee
Dogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] was*ng* wameniotea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dogo naskia una supp nne
chezea civil wewe