Hilo neno wote limetumika vibaya. Haiwezekani kwenye taasisi watu wote wakawa na tabia moja.
Ndio kwa wingi wa ccm unaona kama wote wezi. Ccm ina active members zaidi ya mil 12. Kukiwa na wezi 50000 huwa inaeokana kama wote hao zaidi ya mil 12 ni wezi
Kuna muda kweli nakua nimechoka namuomba anisaidie !
Juzikati hapa kuna jirani alifiwa na kachanga mamamtu eti alisinzia kidogo usiku anaamka kumnyonyesha na kumuangalia ambadilishe diaper amekuta mtoto keshakauka zamaniiii! Basi naogopajee so mi muda mwingi nalala mchana wanakua wamenisaidia kumbeba ili usiku nikeshe kodo!!