Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,578
- 235,426
Wewe umeelewaje??Una maana gani
Ahahhaha mtot mnafiki wewe 😂😂😂
Mimi mbona ujaniagizia? 😔Cute Wife njoo ule biriani kwanza umeze dawa View attachment 2714474
We si unakula dagaa mbungeMimi mbona ujaniagizia? 😔
Cute Wife njoo ule biriani kwanza umeze dawa View attachment 2714474
Ukiruhusiwaaaa nakujaaa[emoji39][emoji39][emoji39] unachonifanyia mgonjwa Mungu anakuona
Haya unibebee yangu uniletee hospital
TubadilishaneWe si unakula dagaa mbunge
Ukiruhusiwaaaa nakujaaa
Dogo Mwachiluwi. Kasema anakuletea dagaaa ni nzuri sana kwa vitamin C[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpk niruhusiwe si nishakufa njaa
Morng my people yersterday i was so tired na heka heka hakikisha leo unafanya kazi af ule ushibe uvimbiwe mambo ya watu jua sio yako utakonda kisa mambo ya watu View attachment 2714189
ahahhaha uyo anakulaga pizaDogo Mwachiluwi. Kasema anakuletea dagaaa ni nzuri sana kwa vitamin C
Hekaheka za ujana kakaDogo umepatwa na nini?
Aisé wew ni noma sanaDr Lizzy mwite sultan mwambie aungie live Aaliyyah njoo ule usile tena bilian View attachment 2714463 Gily Gru mwite shemeji
Dogo Mwachiluwi. Kasema anakuletea dagaaa ni nzuri sana kwa vitamin C
Ahahah soon nafungua mgahawa ngoja mambo yaninyooke tu 🙏🙏Aisé wew ni noma sana
A
ahahhaha uyo anakulaga piza
Oh utaki u fresh za mia mbili zile?Mgonjwa na misumari ya bati wapi na wapi? Hapana mwambie anibebee hata ceres juice ya baridi inanitosha kumezea dawa [emoji12]