Short hair ππIssa furahi dayyy
View attachment 2714237
Akuu π€£π€£π€£π€£π€£ em tulione
Chogo pipi πππAkuu π€£π€£π€£
Nenda bana, sema kunyoa lazima itabidi ujikaze tuπShort hair ππ
Usifanye nikarudi kwa yule mjomba wa elf 40.
Aninyoe aniweke rangi
Nisumbue kijiji πππ
Wewe umependezaMwenyewe hapa nina chogo limechongoka ila sijali kwakweli π€£
Hao watunza kumbukumbu uwajui ππSijaelewa π
Uko poaaa uduguuu??Tulale udugu najionea mambo siyaelewi tu hapa
Nitafute kesho
Utapendeza kweli tena.Wewe umependeza
Mimi nitatishaπ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sina mda, nisha staafu JF nishaifanyia nilivyotaka kuifanyia, na yenyewee ikanipaa malipo ya nilichoifanyiaaa.Hakujui huyu eeeh?
Hebu muonyeshe kidogo,[emoji23]
Nakaziaaaaπ€£π€£ em tulione
Usiondoke mzigo utapanda hapa leo kuanzia saa 12 jioniNaomba vocha basi, nipate bando niwe napost selfie nyingi nyingi.
Usitushauri cha kufanya na bando letu π€¨Morng my people yersterday i was so tired na heka heka hakikisha leo unafanya kazi af ule ushibe uvimbiwe mambo ya watu jua sio yako utakonda kisa mambo ya watu View attachment 2714189
πππ wewe kwaza umemaliza kipolo chako?Usitushauri cha kufanya na bando letu π€¨
12 jioni si nitakua nishaanza kulewa, leo weekend ujueUsiondoke mzigo utapanda hapa leo kuanzia saa 12 jioni
Mie nikinyoa para nakuwa mzimu kabisaUtapendeza kweli tena.
Next month nataka ninyoe para ngoto, nikitisha sitoki ndani hadi ziote
π€£π€£π€£π€£Mie nikinyoa para nakuwa mzimu kabisa
Uko poaaa uduguuu??
Usitushauri cha kufanya na bando letu [emoji2955]
Uduguuu Una nn lakini?? Nimechekaaa had bas,Niko poa udugu ila usiku wangu ulikuwa wa hovyo sijaona, nimeota naruka mabweni ya MU
Nimejishangaa niko juu kule samiti afu ngazi sizioni za nje, naziona za ndani na siwezi kuzifikia hapo kibasila, nikaruka nikafikia ngazi nikatoka. Ghafla nipo Kinje nika survive nikatoka, sijatulia nashangaa nipo juu kunambi nimetoka nimepelekwa Sophia, nimetoka nahema nikaibukia Nah hall nyie nikamuona Prof Wiketye ananiangalia na yale mashavu yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi Dawa leo sinywi nitakufa aiseeee naota vitu ambavyo sivijui