Kabisa mpedwaHizi movie za humu ndani sitokaa nikakuta na mtu yoyote JF.. tubaki hivi hivi... yaishie humu.. wanaweza kukutumia hata wezi.. watu wana roho mbaya mno humu.. kitendo cha kutengeza maneno huyo mtu ujue ni mchawi wa daraja la juu sana π π
Huyo baada ubongo ulisharabika, sasa hivi wadudu wanashambuliwa utumbo.Unaumia ukiwa wapi mdogo wangu?
Unaona nimekaa kimya unadhani nakuogopa? No toto, sikuogopi
Maana najua hauko sawa, kihisia, kimwili, kibalojia. Please tafuta msaada, haiwezekani maisha yangu yakawa yanakuumiza hivo, tena mtoto wa kiume.
Tafuta msaada kipenzi. Before situation get out of hands.
Na mm ndo nashangaa kunawatu hata uhakika wa Milo mitatu hawana lakini kuwakalia watu kooni inashangaza kwakweliWakikuzushia ndio unaongeza ukaribu zaidi waendelee kuteseka, usikae kinyongeπ€£π€£
Af ukiangalia hao watu wenyewe sasa, ni wamepauka hawana maisha hadi wanatia huruma.
Hua muda atleast wangefocus kujiboresha kimaisha Ila wamekalia ujinga ambao hauwasaidii kwa maisha yao.
She's good , najitahidi sana kumfanya atabasamu kila wakatiBoss unatak maji ya kunywa? Vip ulisema unanitafutia visa ili next mouth twende wote nikusaidie mizigo na kuchagua ngua german umefikia wapi [emoji23]
Boss wangu mimi ujui kununa kabisa muone ulivyo mrembo hasa ukicheka jaman na vile Mungu kakupa kicheko mpaka ex anaona wivu Countrywide ongeza tabasamu kwa bibie leo
π π π najaribu ku imagine.. naona ulichoka kama umebeba mawe usiku mzimaaa.... shangazi watu huna maneno na mtu.. lakini wameona wakunyime furaha nawe ndaniiKizito Mjomba tit for tat ππnikajua humu watu ni matahira ππ
Hawa sio wanaume, ni queers. Rekebisha hapoMtu mwenye hatred utamjua, hata akiwa chini ya ardhi anajulikana, tena bora awe wa kike.
Akiwa wa kiume ni balaa, Mungu asaidie tu hiki kizazi chetu
Yaani ukiwaona kma watu kumbe πππWee humu kuna watu wana matatizo ya afya ya akili so ni kuwa nao tu makini
Usiku mwemaa uduguuu, tukutanee next tymeeee!!!
Huyu sitampotezea. Kumpotezea labda niwe nimelog out[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nicheke mie niongeze siku za kuishi
Mpotezee, ateseke huko warioba alipo
π π π haya cha ukorofi wangu. Mungu awatunze..Kabisa mpedwa
Usiku mwema maana hata hii usiku mwema wataenda izushia huko pm kwamba tayariππππ
Shemij huna baya wew ukifa ujengewe sanamu pale morrocoShe's good , najitahidi sana kumfanya atabasamu kila wakati
Mjomba acha tu πππYaani niliwaza nikakaa nikasimama ππππ π π najaribu ku imagine.. naona ulichoka kama umebeba mawe usiku mzimaaa.... shangazi watu huna maneno na mtu.. lakini wameona wakunyime furaha nawe ndanii
wanafikiria wakunyime tu raha, roho zao zifurahi π π πNa mm ndo nashangaa kunawatu hata uhakika wa Milo mitatu hawana lakini kuwakalia watu kooni inashangaza kwakweli
Kilichoninyima Raha sijawah mfatilia mtu sijawah mfitinia mtu,sijawah tukana mtu Wala kugombana na mtu maishayangu yenyew magumu πsijui Huwa wanafikiriaga nn
Yaani we mpole hee, maneno ndio yakukoseshe raha π€£π€£Yaani ukiwaona kma watu kumbe πππ
magoti yote yalikwisha nguvu π π πMjomba acha tu πππYaani niliwaza nikakaa nikasimama πππ
Mm nipo hapa hapa miak buku rah watakosa wao Mjombawanafikiria wakunyime tu raha, roho zao zifurahi π π π
si unajua mchawi huwa ni wasumbufu tu
Mtoto kuw na adabu ana mbambamba huyi shemeji yanguchawaπ
Acha uoga kijanaπ€£π€£Hizi movie za humu ndani sitokaa nikakuta na mtu yoyote JF.. tubaki hivi hivi... yaishie humu.. wanaweza kukutumia hata wezi.. watu wana roho mbaya mno humu.. kitendo cha kutengeza maneno huyo mtu ujue ni mchawi wa daraja la juu sana π π
π π π unawatishia amani.. wanajuhami sasaMm nipo hapa hapa miak buku rah watakosa wao Mjomba