Sema nini namvutia kasi siku nikishapiga mambo yangu.. nitakuja humu kuwanyea watu kinoma noma.. pamoja na watu ambao wanapakazi watu mambo ya kishenzi hl
Dogo ulipotea nilikumiss ππππππSelfika na visangaa vyakeee,
Kazi ipooo, woiiiiiiiiiiih
Unaenda wakati we ndyo mkuu wa mkoa
Nimesikia pia eti Mimi na wewe tulikutana tukafanya yetu huko Dodoma wakati nimeenda kuchukua chetijf imekuwa ya kishenzi kupita maelezo.. mie huko nimeambiwa nachezea watoto wa kike na kuwatelekeza ukiwaukiza nimalala nani hawajibupa hovyo sana humu
Lazima nikae kwa code mkuu. Namba hazitolewi bure bure. πdah, sasa mbona humpi nnamba au mbussu inatumwa pmπ
Nani huyo?zinapandaga kichwani si unnajuaπ€£
πππππππππππππππππππππ π π π π π π π π π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π π π π π π π .Nimesikia pia eti Mimi na wewe tulikutana tukafanya yetu huko Dodoma wakati nimeenda kuchukua cheti
Sijui eti tukalala Morogoro tukasingizia gari limeharibika
Akiyanani
Cheti nilichukua wakati wa graduu..
Kipindi kile tumekutana nimeenda kanisani,sijui cheti gani tena wadau walinitengenezea
Na safari ya Dodoma interview nikasafiri usiku kucha kuwahi kibarua Cha muhindi,nilipost picha nipo Msamvu nikiwa kwenye bus.
Nasikia ndo wanasema eti gari lilituharibikia hapo,sasa sijui siku hizi unaendesha mabus
Hizi stori zimenichekesha nikataka kuzimia.
Ngoja niweke na Ile selfie yetu ya Mlimani City siku Ile tumeonana nikiwa na ndugu zangu.
Sijui wataitungia story ipi safari hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Axha uongo nitakuja hapo ulipo tena saivimimi hapa
Dogoo mie nipoo, majukumu yanabanaa, ko tunakuja kwa kuibiaa. Kuna maisha nje ya JF.Dogo ulipotea nilikumiss
Nimesikia pia eti Mimi na wewe tulikutana tukafanya yetu huko Dodoma wakati nimeenda kuchukua cheti
Sijui eti tukalala Morogoro tukasingizia gari limeharibika
Akiyanani
Cheti nilichukua wakati wa graduu..
Kipindi kile tumekutana nimeenda kanisani,sijui cheti gani tena wadau walinitengenezea
Na safari ya Dodoma interview nikasafiri usiku kucha kuwahi kibarua Cha muhindi,nilipost picha nipo Msamvu nikiwa kwenye bus.
Nasikia ndo wanasema eti gari lilituharibikia hapo,sasa sijui siku hizi unaendesha mabus
Hizi stori zimenichekesha nikataka kuzimia.
Ngoja niweke na Ile selfie yetu ya Mlimani City siku Ile tumeonana nikiwa na ndugu zangu.
Sijui wataitungia story ipi safari hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipooo nachungulia kwa mbaliii shogaanguMkoa wa staki shari
Shogare upo?
Hewa finaly umekuja ongea tujue ukweli hivi yule mchagga hajambo ??Dogoo mie nipoo, majukumu yanabanaa, ko tunakuja kwa kuibiaa. Kuna maisha nje ya JF.
mic u 2,
Sawa sawa. Kazi kwanza πππDogoo mie nipoo, majukumu yanabanaa, ko tunakuja kwa kuibiaa. Kuna maisha nje ya JF.
mic u 2,
Hizo stori nimeambiwa juzi tu wiki hizihiziIlikuwa ya lini hiyo? Mimi jamani nimechelewa kuja selfika sijui kwann mpk vitu vingi vimenipita
Shosti humu mnaishije? Mbona hekaheka mingi sanaβaa
Nakupigia simu.. nikuharibie mfumopatachimbika hapa.. π π acha niache amani ya jukwaa itawale.. maana ushahidi wa wanawake anao wafata kunichafua upo
Nipooo nachungulia kwa mbaliii shogaangu
Hizo stori nimeambiwa juzi tu wiki hizihizi
Hata habari nilikuwa sina
Yaani sijui hata zimetokea wapi
Aliyezitunga ni mtungaji mzuri,akienda bongo movie anachukua tuzo mbona.
Uzuri Mimi sihangaishwi na mpumbavu yeyote humu,
Picha napost ninavyotaka Toka uzi umeanza..hakuna wa kunipgopesha humu.
Sent using Jamii Forums mobile app