Kwanza kabisa umenikumbusha headmaster wangu wa o level alikua mkenya,
Alimwambia jamaa mmoja "acha kuleta kazi kwenye utani,"
Badala ya utani kwenye kazi
umenikumbusha sisi matron wetu kila siku asubuhi alikuwa ana tabia ya kutangaza akisema "nafunga geti nazima taa" akimaanisha kwamba anafunga geti kubwa la kuingia kwenye mabweni na anazima taa za mabweni yote kwahiyo wanafunzi watoke mabwenini waende madarasani
sasa siku hiyo badala ya kusema hivyo akasema "nafunga taa nazima geti" aise watu walicheka halafu unajua utoto sasa enzi hizo tunatenga na madaftari ya michapio anayechapia tunamuandika basi tukaenda muandika kwenye daftari la darasa la michapio yaani hadi kesho huwa sisahau
Kwanza kabisa umenikumbusha headmaster wangu wa o level alikua mkenya,
Alimwambia jamaa mmoja "acha kuleta kazi kwenye utani,"
Badala ya utani kwenye kazi