Selfika na JF: Snap it. Show it

Maua una mizuka na mizee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona shem wangu Mjep sio mzee jamani

Hebu selfika kwanza utustue humu shem ajue kapata toto hswaa
Wewe kweli nampenda Mjep kama ameoa aseme mie nampenda namkubali hakuna humu ambaye nitakuwa naye zaidi yako babe wangu yaani ujue hapa natamani nikamwogeshe tu mpenzi wangu katoka kazini kachoka nimfanyie massage na mafuta ya olive oil huku akiwa anapewa maneno yenye hisia kali ya mapenzi wanguu kweli mwambieni i love him so much
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maua shosti angu kweli umezama na kutoka huwezi, na jana ule uzi ulitaka ujue nani yupo na Mjep
 
Sio kweli nilijua lazima awe na mtu ila niliona nisiwe mwenyewe ni bora waje wengine wafunguke hisia zao . Ili wawe huru

Sawasawa pambania goli, mpende mwaya usijibane bane [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…