Totoo uhali ganiau sio?? utanikumbukaš
Ulitaka nimchukue nimbebe ššaisee, na wewe unaangalia tu?
Kwa kipi kwanza hunipendi unanitania nimeenda kwa mume mwingine nikabadilishe hali ya hewa mtu huku hueleweki mie hapana kweliau sio?? utanikumbukaš
naskia wameniibia unique flower wangu
Pole jamani totoo.hali ni mbaya nimeachika hapaš
Ngoja nikuambie pole kwa yaliyokukuta mimi nimewekwa kama kipozeo tu maana mume mwenyewe simuoni hapa na wala hajajakosa langu ni lipi
wewe ulikua wapi mpaka naibiwa pisi
Weekdays tunalala mapema, sasa hivi sipo free sana kama vp saa 4 usiku hivi njoo tuendelee. Nitahakikisha mpaka unalegeaAiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28] pole sio makosa yako
Asijali kurudi ni ndoto bora niende kwa yule mzeeTajiri kamwaga mpunga wewe ndugu yangu apeche alolo, lkn usijali atarudi kwako ss hivi huyo maua
Sasaakizira wewe upo mtoto mweupeeeš
Me niko upande wako ujue šnyie ndo mnamjaza upepo
Sio wanguMe niko upande wako ujue š
Na wako piaš„°Sio wangu
Sasa haupo wa nani eti??Na wako piaš„°
Mwaka huu ni wenu mwendo wa kuibiwaUlitaka nimchukue nimbebe šš
Napenda wanawake hustlers, nitakuungisha hiyo ya 1kg japo sikuwa nahitaj. Weka njia za malipo nione nafanyaje kulipia[emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo uniungishe basi Mkuu,Binti yenu nisife njaa.
Ngoja narudiiiiSasa haupo wa nani eti??