Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,836
Kula ushibe agiza mingine
Sidhani😅😅 unaweza kuta kama ya mbweha
View attachment 2711640Morng Mzee wa kupambania salasala hawajamboo
unajipenda kinomaa mwana 😅😅View attachment 2711640Morng Mzee wa kupambania salasala hawajamboo
hahaha! basi aiweke sauti zinapandaSidhani
Hapana nilionja kidogo tu bro 😂😂😂Jana ulipiga vitu?
Ahahahha maisha mafupi kabla ujawa nyama ya wachai basi hakikisha unakula nyama za kutosha ili wakija wachawi kukula wakute radha ya nyama ya binadamu haipo😂😂unajipenda kinomaa mwana 😅😅
Naona tbt inaelekea na wewe ulikuwaga msela mavi 😂😂😂
Safi sana mkuu! ✌️Ahahahha maisha mafupi kabla ujawa nyama ya wachai basi hakikisha unakula nyama za kutosha ili wakija wachawi kukula wakute radha ya nyama ya binadamu haipo😂😂
Leo uwendi mliman city kupata khahawa na warembo wa samaki samakiSafi sana mkuu! ✌️
maisha ndio haya haya
Depal kaishakabaa kona mzee.. tunashindaa ghetto tu 😅😅😅😅.. kahawa anasema anategengeza mwenyewe .. sina janjaaa mzeeLeo uwendi mliman city kupata khahawa na warembo wa samaki samaki
Yeaah ila mi sijawahi kuwa msela.Naona tbt inaelekea na wewe ulikuwaga msela mavi 😂😂😂
hahahah nije nikutoroshe hapo leo mashangazi mliman wengi sana ukimuona anatoka unaomba umsaidie kubeba mizigo unampelekea kwenye gari then unaomba namba af imekwisha hiyoDepal kaishakabaa kona mzee.. tunashindaa ghetto tu 😅😅😅😅.. kahawa anasema anategengeza mwenyewe .. sina janjaaa mzee
Naona mikato ya kina mr nice enzi hizo hapo umekosa kofia ukaigeuza kwa nyuma tuYeaah ila mi sijawahi kuwa msela.
😅😅😅😅😅 vinajana ndio maana mnalalamikiwa sana humu.. mna mambo makubwaa kinomaA
hahahah nije nikutoroshe hapo leo mashangazi mliman wengi sana ukimuona anatoka unaomba umsaidie kubeba mizigo unampelekea kwenye gari then unaomba namba af imekwisha hiyo
haya ni madogo kati ya makubwa ambayo tumeyaficha msiyajue mkuu kwani kumaaidia shemeji mizigo kunashida?😅😅😅😅😅 vinajana ndio maana mnalalamikiwa sana humu.. mna mambo makubwaa kinoma
Lucas Mkenda mzee wa kokoto😄😄Naona mikato ya kina mr nice enzi hizo hapo umekosa kofia ukaigeuza kwa nyuma tu
mnasaidia au mnataka nambaa kijanja😅😅😅Ahhahh
haya ni madogo kati ya makubwa ambayo tumeyaficha msiyajue mkuu kwani kumaaidia shemeji mizigo kunashida?
Ahahahah kitambi sanaLucas Mkenda mzee wa kokoto😄😄