Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,838
Vyote muhimu katika maisha mahusihano muhimu kiliko kula 😂mnasaidia au mnataka nambaa kijanja😅😅😅
Vyote muhimu katika maisha mahusihano muhimu kiliko kula 😂mnasaidia au mnataka nambaa kijanja😅😅😅
Upwiru hauishi 😅😅Vyote muhimu katika maisha mahusihano muhimu kiliko kula 😂
safi sana kijana mkuuView attachment 2711679tbt jitegemeee secondary schoool
Ahhahaha pambania kombeUpwiru hauishi 😅😅
goja hapa nijigeuze nitupie nyama nyamaniii.. badae hiyo 👋👋
Mwambie Depal akuwekee maji ya moto uoge nasikia ujaoga et wiki kisa baridi 😂😂😂safi sana kijana mkuu
😅😅😅 nadekezwa tuuu.. katoto kama under 18.. ushawai ogeshwa weyeeeAhhahaha pambania kombe
😅😅😅 ananiogesha mwenyewe , siwezi kwepa kuoga yaniMwambie Depal akuwekee maji ya moto uoge nasikia ujaoga et wiki kisa baridi 😂😂😂
Ndio tena shower gery 😂😂😂😅😅😅 nadekezwa tuuu.. katoto kama under 18.. ushawai ogeshwa weyeee
Ahahaha ila mvivu mpaka sasa ajaamka😅😅😅 ananiogesha mwenyewe , siwezi kwepa kuoga yani
😅😅😅 basi nimwemdo wa kuogeshwaa tu hapaaa kama mbosso khan 😅😅.. nawekwa kwenye beseni mieNdio tena shower gery 😂😂😂
😅😅 aamke aende wapi, wakati leo hatoki mtu chumbaniAhahaha ila mvivu mpaka sasa ajaamka
😂😂😂😂 ndio maana utoki njee atujakuzoea ivyo wew😅😅😅 basi nimwemdo wa kuogeshwaa tu hapaaa kama mbosso khan 😅😅.. nawekwa kwenye beseni mie
Tunatak tuone mwaka uhu matunda yake ole wako ushindwe😅😅 aamke aende wapi, wakati leo hatoki mtu chumbani
😅😅😅😅 niacheni na Depal wangu😂😂😂😂 ndio maana utoki njee atujakuzoea ivyo wew
Mtaachana kabla ya mwezi wa tisa kufika 😂😂😅😅😅😅 niacheni na Depal wanguView attachment 2711698
😅😅😅 hilo duwa la kuku halimpati taiMtaachana kabla ya mwezi wa tisa kufika 😂😂
Tutaona tupa hapa tunasubiri uji tutaona😅😅😅 hilo duwa la kuku halimpati tai