Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndoa bila kujua km pesa ipo?? Unataka ukamlishe nyasi?? Mtoto alivyo bomba hivyo afu umpaushe km kikoi cha wamasai wa Longido asubutuuu!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemuona na amenona kweli, akiolewa na equation x hatojuta; yeye kazi yake itakuwa ni moja tu πŸ˜€
 
Hao utraaamu wao naujua mimi, kwanza wana pesa chafu afu hawachoshi mwili!!!

Wana vidyudyu vidogo kwenye kusuck unavidumbukiza vyote mpk pomboo [emoji2222][emoji2222]
Kumbe wewe ni muoga wa mjeledi wa kukusulubisha πŸ˜€ πŸ˜€
 
Leta namba nikutumie kwa jfpesa sasa hivi; haiwezekani mtoto mzuri hivyo uhangaike kutafuta mtaji πŸ˜€

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo unaongea huku unatetemeka
Nina binamu yangu ana akili mbovu, ananiambiaga ukitaka kumkimbiza mwanaume mtajie pesa, hakusumbui tena
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo unaongea huku unatetemeka
Nina binamu yangu ana akili mbovu, ananiambiaga ukitaka kumkimbiza mwanaume mtajie pesa, hakusumbui tena
Mara nyingi wanaume wenye upeo mkubwa wa kufikiri, ukimtajia pesa, ata kama anazo; anatafsiri kuwa anauziwa, ikimaanisha hisia zinaletwa na pesa na si upendo kutoka ndani, na hii imepelekea wengi kuwa singo maza.​
 
Na uzuri na sie tunawatambua wenye pesa na wasio nazo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…