Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ acha kunipeperushia njiwa wangu, nataka nimvishe pete ya uchumba, au unapenda anavyokuwa singo

Ndoa bila kujua km pesa ipo?? Unataka ukamlishe nyasi?? Mtoto alivyo bomba hivyo afu umpaushe km kikoi cha wamasai wa Longido asubutuuu!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo akinipa maokoto shogare utaenda hata kwa winch [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usintanie nataka pesa za kuongezea mtaji wangu mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya kutuma mtaji na kujiandaa saana kumbe changa la macho [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo akinipa maokoto shogare utaenda hata kwa winch [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usintanie nataka pesa za kuongezea mtaji wangu mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leta namba nikutumie kwa jfpesa sasa hivi; haiwezekani mtoto mzuri hivyo uhangaike kutafuta mtaji ๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ