Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Haitokusaidia chochote!!!🤨🤨🙂🙂🙂 mgombane tu
Haitokusaidia chochote!!!🤨🤨🙂🙂🙂 mgombane tu
Mimi yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulijua nimekufa?? Leo kuna issue nilikua naifanya hapa ndio nimepata utulivu!!
Vipi umeenda Simba day leo??
🥴🥴🥴🥴🥴 sawa tuuHaitokusaidia chochote!!!🤨🤨
Mimi yanga
Enzi wimbo uhu unatoka ulikuwa wapi Cute Wife Lenie Depal Antonnia
Usiku wa manane, nikasikia waniita
Kufumbua macho nagundua ni ndoto
Usiku wa manane, nikasikia kuh kuh
Kutizama pembeni sikuoni mpenzi
Mara nyingi peke yangu nitembeapo njiani
Nina kuwaza wewe na ninapata kiwewe
Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji
Moyo wangu wakuwaza mpenzi uko mbali nami
Ngiyakuthanda, ngiyakufuna, ngiyakudinga
Nhliziyo yami, ngicabanga ngawe kodwa ukude nami mpenzi
I love you, I want you, and I need you
My heart is thinking of you but you're far away from me
Je t'aime, je te veux, j'ai besoin de toi
Mmh mon coeur te pans, Mh tiele du moi
Nalingiyo, naleliyo, naza naposa nayo
Motema nanga ezokanisa yoo ozali mosika nanga
Ndagukunda, ndagushaka, ndagukeneye
Umutima wanje ula kwiyumvila aliko ulikule chane
Nze nkwagala, nkwagala, nkwagala nyo-oo-oo
Umutima gwange gukulowoza, naye oliwala nyo nange
Uwapo safarini mawazo mengi kichwani
Ili kujiliwaza ninapata ssss
Penzi si la mmoja mapenzi ni ya wawili
Na ni ya mimi na wewe witunge mwana wa mawe
Ili siku moja tuwe kitu kimoja
Tuje tujenge pamoja na watoto tuleee

Hahaha dah enzi izo alikuwa fireView attachment 2710028
huu wimbo mtamu hadi leo mkuu...
kuna vitoto vya kishua nimevipasua sana kwa hizi nyimbo.. 😅😅😅..
Ahahaahah kwahiyo unamchekaMimi kila nikimuona Jide nakumbuka walivyokuwa wanabebishana na Gadna diamond jubilee kwenye harusi ya Ndege [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sana Jideer komando... 😅😅Hahaha dah enzi izo alikuwa fire
Ahahah anatakiwa siku aandae event ya old goldSana Jideer komando... 😅😅
sema nini ... hakuna lisilo na mwishoo
Yeah sema zuma sijawahi kulicheza kwenye simu, nilichezaga kwenye pc tu, kwenye simu nilikuwa naona kama litaboa hivo sijawahi hata kujaribuHapa ongezea na Zuma [emoji56]
Ahahaahah kwahiyo unamcheka
Hujaenda simba day shogareShogare [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye PC uwe na mouse ni paa paaYeah sema zuma sijawahi kulicheza kwenye simu, nilichezaga kwenye pc tu, kwenye simu nilikuwa naona kama litaboa hivo sijawahi hata kujaribu
Mie mwananchi ila leo nmevalishwa uzi wa mtani kwa nguvu na sina jinsi 😁Kumbe mwananchi? Mimi sijuagi nashabikia team gani? Itakayoshinda ndio yangu aiseeee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahah omba iludiweWalitokea kuwa kivutio changu ile siku afu komando ndio alikuwa hot kipindi kile, pembeni yuko Nargis na Kp [emoji7][emoji7][emoji7]
Hujaenda simba day shogare