Sema unajuaga kuna ile mmeanza tu mara ghafla mmebwagana....sasa ili kuwanyima kina hivi yule mshkaji wako/wake siku hizi vipi βcontent nakua natupia pia za kijanja walau miezi 6 ifike!ππΆβπ«οΈ

Ni kaujanja tu kamenijia ghafla maana mwaka juzi kuna mtu nilim-date kidogo basi maswali yalivyofuata sasa.....mpaka mwaka huu naulizwa!!!!πππ

Dah kweli aisee mda mwingine nafurahia sana haya mauza uza yangu ππ€£π na nikiwa na ninao fanana nao kama hapa nilipo basi ni kucheka tu kama mazombiee π€£π