Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Upo Kama Mimiππ€£ππ π π hakuna ukweli hapo .. mie sijawai date na mtu humu.. kwanza warembo wote humu wamefunga pm.. naanzaje sasa tupa ndoana
π€£π€£π€£ Hatariiiπ π π kaisha pigwaa tayari na alie mpa info pamoja na muhalili wagazeti..
[emoji28][emoji28][emoji28] yani hadi nasahau mkeka wangu.. sio kweli aisee... huu mkeka wa mtu mwingine sio mie..
π π π tunaogopa siku hizi PM kama ukoma,Sikia bhana natania hebu njoo PM Unileezee jambo au nifuree sasa hivi
Kweli mapenzi ni utapeli,π€£ππ, we wa kumuita kikongwe- mamaππππsawa mama
kaushaa basi π π π π πWa kwako usibishe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dereva ni baby wangu so yuko makini na nimemkamatia vema tu kwa kiunoOk hapo sawa alafu mwambie aende taratibu mshikilie vizuri sawa π
Dah kumbe wenzetu mna mabebi na hamsemiπππ€£Me naenda kulewa na baby wanguπ€£π€£
Ile imeendaa mjombaa sidhani kama itakuja jirudia!!kipindi kile ilikuwa rahaa... ebu ijuduie basi wapendwa wetu ππ
Kadai ni uongoo ila kiukweli nimeoewa na mtu huo umbeya
toka nimejiunga humu sijawai tamkia mtu mambo za mapenzi.. napaogopa kweli kweli π π π π .. tubaki hivi hivi tuUpo Kama Mimiππ€£π
King kiba in da building π₯π₯View attachment 2709250
Kesho hatoki mtu
πππππ ilikuwa nzuri sanaIle imeendaa mjombaa sidhani kama itakuja jirudia!!
weyeer acha kula tango pori banaaa [emoji28][emoji28][emoji28]
Hata sina jipya mjombaa! Usijareee nikipiga ntakutag!tuone hips πππ
Mimi wame fika 50ππ€£πtoka nimejiunga humu sijawai tamkia mtu mambo za mapenzi.. napaogopa kweli kweli π π π π .. tubaki hivi hivi tu
Mnoooo!πππππ ilikuwa nzuri sana
Hivi kuna mtu hana bebe? Mnaishije sasa kama magaidi khaDah kumbe wenzetu mna mabebi na hamsemiπππ€£