Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,430
- 95,935
Mie hata nilewe vp sisahau kwanguSema mwende kwa tahadhari, Kuna Jamaa Jana kasahau kwake😂😁
Lenie nakufa kwa kicheko😂😁🤣, mshamba_hachekwi unge tuliza Shari😂🤣😁Hupendi kwa maana yamekushinda nani akutake wewe unayemtegemea shemeji Yako umekuja arusha unataka guest za elfu tatu , mie sio ligi yako kijana huniwezi kwa sabuni au lotion hujawahi niona wala kunijua wala sitakagi mie viwatu vya huku mmkekomaa kama ungo za wachawi, hamna hela mkijenga nyumba mmoja mnazima mazima , wewe nikama kakitu ambacho hujai mkononi, ila unatamba mie nakufundisha uache unafiki , halafu jingine eti unawaka unamuwakia nani, umewahi niona najikomba kwako mie hapana. Hujui kwanini ngoja utajua tu ipo siku , eti hupendi mAmbi yanayoendelea hapa kwani wewe ndio mwenye hii app acha kujishaua umetukuta na hujui tunaishije mazoea na mimi sipendagi mabaunsa kwenye shughuli zeroo ndio maana unapanda boda boda . Usinizoee na unikome kama ulivyokoma vyote ulipo kuwa mdogo mie sio ndugu yako wala shangazi yako , wala mie sio rafiki yako , pelekea hasira zako ulipochunwa vimiamia vyako ipo siku humu mtaelewa mie mtu wa namba gani siwezi date na visiki mie umetukuta cheza kwa step shuwain , unamikosi na mabalaa nani akuhesabie honey acha uchizi njoo kwenye reality hakuna ambaye atakutaka hujajipanga ujue hilo post zako zinaonyesha wewe nikilaza
Dah jau Sana, mi Niko kibarazani nashangaa ana lazimisha kuingia😂.Huu mji ,to
Mie hata nilewe vp sisahau kwangu
Bora mi Niko single na 😂🤣🤒Ni kweli nilipotoa ile post Mwachiluwi na mshamba_hachekwi nani nimchague mbona ulishadadia je ningekuwa serious na huo uzi kuwa ni wewe na huyo ndio nilikuwa nawataka halafu nikute unamlilia huyo mdada ningejisikiaje hata wewe hujatulia wote mlikuwa hamjatulia ulikuwa unamtaka kila mtu wewe ni bendera upepo. Ukitaka usifanyiwe ubaya usiwafanyie wenzako upo na mtu bado kila mdada humu unamuita babe wewe ndio unapenda kuwa free ila sio mwenzio
Jamaa ana hasira toka Jana, Ali mropokea National Anthem Kisha aka ni attack na Mimi😂😁Punguza munkari chief
Mchit chat jamani
Msiwejibizane hivyo mnanufaisha watu
Leteni amani
Sema ukute kweli Jamaa ana hasira za kuachwa, maana toka Jana ana tu kasirikia washikaji zake😂😁🤣vimeumanaaa mapemaaa sana.. acha niwapishe vijana
Sijui kwanini kawa hivyo😂🤣, maana toka Jana ana wakasirikia watu😂😁.Eti msikie hizo kimzimu eti kinanijia juu eti nikome sipendi mambo yanayoendelea hapa , nikuulize kama kaibiwa demu sinikwamba hakajiwezi sasa nani anataka masazo kwanza kanalishwa na shemeji, pili hakajielewi , tatu anadate na watu mitandaoni jamani tumfungulie jalada la wagonjwa hebu watu wajue basi type zangu.?? Hana hata gari 1 sasa unampeleka wapi?? Sura mbay vile. Mie nataka vifaa vichwa , hizo meli sio vitreni vya tazara viinavyozima aigh
Mbona hawapigani sasaSijui kwanini kawa hivyo😂🤣, maana toka Jana ana wakasirikia watu😂😁.
👉 Ali Anza kwa National Anthem akaja na kwangu🤣😂.
👉Sema kumbe mapenzi ni Kama sumu 😂😁 alisikika mshamba_hachekwi 😂🤣😁
Pamoja mkuu💪Ooh hapo sawa mie na uzee huu ,hz lugha zenu sizijui,mkuu ,nisamehe kwa hili na futa ile kauli, sorry ndugu yangu
Ngoja nimwite Unique Flower 😂🤣,Mbona hawapigani sasa
Kapigana na nani 😅Ngoja nimwite Unique Flower 😂🤣,
Hahahahaha,huyo boya ,bora mlivyomnasa vibao,next time awe na kumbukumbuDah jau Sana, mi Niko kibarazani nashangaa ana lazimisha kuingia😂.
👉Eti ana sema hapa kwake, tume mnasa vibao, aka toka mbio😂
Safi, jumamosi leo mko wapi ,panapo kickPamoja mkuu💪
Tena ana bahati hatukuwahi na mood ya hasira😂🤣😁.Hahahahaha,huyo boya ,bora mlivyomnasa vibao,next time awe na kumbukumbu
Kaka mi siendi club Wala situmii vinywaji🤗Safi, jumamosi leo mko wapi ,panapo kick
🤣🤣🤣🤣 Ujue me sipendagi ugomviLenie nakufa kwa kicheko😂😁🤣, mshamba_hachekwi unge tuliza Shari😂🤣😁
Mdogo ako mwenye dimples yupo wap sjamuona kitambo🤣🤣🤣🤣 Ujue me sipendagi ugomvi
Unique Flower Kam lipua last born😂🤣😂🤣🤣🤣🤣 Ujue me sipendagi ugomvi
Kapotea au mi ndo spiti ukuDepal kuna mtu kakumiss huku