Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji18] For real kuna raha ya kujihudumia mwenyewe yaani humsumbui mtu.

Mimi najipenda sana ndiomana napambana usiku na mchana nijihudumie, ila mwanaume akitokea nimpende mwenyewe sio sababu ya pesa zake aiseee!!

Kwanza nina kinyaa sichukui furushi eti kisa naye anaitwa mwanaume
 
Aisee nilikuwa nakutafuta kumbe upo hapa selfika😊
 
Back
Top Bottom