Selfika na JF: Snap it. Show it

aahahaaa.. ebu kunywaaa maji kwanzaaa... imekuwaaa tuuuu pesonali.. We dogo nikutongeze kwa kitu gani ulicho nacho special.. acha ushamba wa kupakiziana umetongozwaa.. siwezi kukutongoza banaa.... kama ulihisi nakutongoza ondoa hilo wazo..
Take it easy, huu mchezo ni zaidi ya price za share ya Berkshire Hathaway πŸ˜‚πŸ˜„πŸ€£
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli??
 
aahahaaa.. ebu kunywaaa maji kwanzaaa... imekuwaaa tuuuu pesonali.. We dogo nikutongeze kwa kitu gani ulicho nacho special.. acha ushamba wa kupakiziana umetongozwaa.. siwezi kukutongoza banaa.... kama ulihisi nakutongoza ondoa hilo wazo..

Ulijuaje?? Nakunywa maji nakaribia lita 5 sasa kichwa kinaniuma.

Basi yaishe mtu wangu naona utani utaelekea kubaya bure tuanze kupishana km bus za mkoa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli??
eeeh! ni mwembamba kichizi na mmbishi kinoma kula... upepo siku moja ulinibamiza ukutani.. bila hivyo ningepeperushwaa...

so acha kusikilizia maneno ya uongo sijui na kitambi.. wana kuchuuza... tu bwana mdogo
 
Weka pic nione ulivyo betina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…