Kumbe ile Suit ilimtoa poa Last born wangu eeh? 🤪Babu ukitupia unishtue basi, lile suti la kilawyer lilikutoa jana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha,haya endeleeni Furahi Day leoBasi watateseka sana, km vipi wajinyonge wajifie tyuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana bado naendelea kulima, unajua kilimo cha Tanzania hakitabiriki ndiyo maana najaribu kulima mazao tofauti ili ikitokea unaanguka zao moja basi lingine linakubeba.Vipi heka ulizo achia mbarali, hauzi kodishi mkubwa.?
Si ulisema ni umwagiliaji ehh??Hapana bado naendelea kulima, unajua kilimo cha Tanzania hakitabiriki ndiyo maana najaribu kulima mazao tofauti ili ikitokea unaanguka zao moja basi lingine linakubeba.
Kumbe ile Suit ilimtoa poa Last born wangu eeh? [emoji2957]
Usijali Mjukuu, nitakujulisha [emoji847]
Hahahaha,haya endeleeni Furahi Day leo
Tukutane Wavuvi jioni tupoze kooFurahi Day hii , mmejipangaje ,tupeane Ratiba mapema kbs
Tuka angalie movie, kibanda umizaFurahi Day hii , mmejipangaje ,tupeane Ratiba mapema kbs
Ndo wapi huko daslam🤒😃Tukutane Wavuvi jioni tupoze koo
Kichwa kinauma ,meza dawa kitapoaFurahi day imekuwa mbaya siko poa kabisaa!! Kichwa kinaniuma
Sawa ,kwa ujugu au wapi?Tuka angalie movie, kibanda umiza
Kilimo cha Mpunga bonde la Mbarali kinategemea Umwagiliaji.Si ulisema ni umwagiliaji ehh??
Swadakta ,umetoa code nzuri,mie nitaanzia ,The Marz then nitakujoin wavuviTukutane Wavuvi jioni tupoze koo
Ohhh kile Cha mpunga mbarali, mna mwagilia na water pump??Kilimo cha Mpunga bonde la Mbarali kinategemea Umwagiliaji.
Huku cha miwa kinategemea Mvua au kama una uwezo unaweza kutumia teknolojia ya umwagiliaji.
Wakati kile cha Korosho kule Mtwara kinategemea mvua za kawaida tu ila madawa mengi.
Kama bei ya Dollar itaendelea kupanda hivi Mwakani nitajaribu kulima Zao la Tumbaku, hawa wanalipa kwa Dollar kila mwaka
Yule ni Kijana wangu wa mwisho kuzaliwa, Mimi umri umeenda Mjukuu niko na 78 ujue 🤪Sio wewe tena babu?? aah babu vibaya hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee🤒🏃🏃🏃
Kichwa kinauma ,meza dawa kitapoa
Ipo Buza huku 😅Ndo wapi huko daslam🤒😃
Yule ni Kijana wangu wa mwisho kuzaliwa, Mimi umri umeenda Mjukuu niko na 78 ujue [emoji2957]