angalia camera, kisha piga pichaMaelekezo kidogo namna ya kuchukua selfie nataka nijipost
December nimekuwa Xmas tree mie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio tabia za matajiri[emoji28]
Na sie na tajiri Jack tunaenda kuogeshana mtuwacheeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya akikutumia 2m lush 300k nilipe kodi ndio nitakaa kimya
Nimwambie aje tupike wote siku moja???[emoji16]
Dogo tulia basi mimi ndio mtu sahihi
Basi wivu utawaua soon
Got it babe[emoji6]
ila vitu vingine mshamba atamsaidia😋Na ndiomana siwataki, nakutaka wewe tajiri [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Aya sasa shem fantastic utubless milo mitatu mitatu ya sharaton pampa na mshamba_hachekwi
Kumbe kelele zote ni njaa inawauma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna shida sapotin penzi langu na [mention]Cute Wife [/mention]
Katàa kumbe unataka kill siku mihogo unatunza mbegu tumble?
Hilo ndio la muhimu walifanyie kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Idrisa Sultan tu!🤓Ahaa Idi gani tena?
Vijana sio kabisa, kuanzia leo waniite mimi shem wao[emoji3]
Idrisa Sultan tu![emoji851]