Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,578
- 66,244
Ahahaha tuna muoaa DecemberEti umeolewa? [mention]Cute Wife [/mention]
Ahahaha tuna muoaa DecemberEti umeolewa? [mention]Cute Wife [/mention]
Wazee wa kusimamia shoo achana nao watakuchosha tu




sio kizingizio cha kua mzembewakamia shoo watakuibia
Ebu nisaidie kumuita



khaaaaaaa!! Tajiri una jeuri sijapata kuona🤣🤣🤣😊Siku hizi umeacha kunitag basi unanipa shida
khaaaaaaa!! Tajiri una jeuri sijapata kuona

We moja na drip juuWatapiga bao 3 na hela hawakupi![]()
Niliona nikuache kwanza umalizane na bata la bongo!![]()
Asante mwaya!Sufuria nzuri sana
Ahahh kwanini upake linju ya 10k?




Nimwambie aje tupike wote siku moja???😁Msalimie idi
Au niweke chuma changu hapa?akae mbali kabisa

Haya akikutumia 2m lush 300k nilipe kodi ndio nitakaa kimyaNdio mniache tajiri anifanye nipake za 2million, hamjui nikipata mimi na nyie wadogo zangu mmepata![]()
Nitaippenda iyo ssiku sitosahau kabisaNimwambie aje tupike wote siku moja???😁
Wameona umepata mtu sahihi wanaanza kusumbua daah


