Ndio mkuu tulifika hatua mnzuri sana kwaza tulianza mahusihano kipindi kibaya sana kwangu alinijari sana mpka nikawa sawa sijui nisemeje lakini nilikuwa simfwatilii sasa nilipo mpenda sana nikaanza wivu mfwatilia sana
Mkubwa mi sijaenda shule, ila nime jifunza Sana kuhusu uchumi na biashara.
👉Mbinu zipo nyingi mno, Hadi za kukwepa ko...I(hope ume elewa).
👉Sasa walio enda, SI ndo wata wanyoosha😂🤣 Grahams