Selfika na JF: Snap it. Show it

Ww ndio mshamba ila huchekwi huko ulaya watu wanavaa na hakuna stress acheni kuwapangia watu maisha bhna
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we kweli? Mbona unataka kunitia presha kwnn lakini?!!!
 
Mhm!! Kwann Fid ampige mkwala Juma? Hebu elezea vizuri hapo baba Paroko
Afagilii itikadi zake na sio Fd q pekee kuna yule anae piga wasanii yupo cloud siku iyo alikuwa anataka kumshushia
Kipigo juma pale clouds bila kwisa angepigwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we kweli? Mbona unataka kunitia presha kwnn lakini?!!!
Ahahah shida yao hao wanakuaga kama washamba wa k kuna mmoja alimtoa dem mimba uku amemshikia mguu wa kuku madem wengi sasaiv wamepagawa wanajua kumzalia star maisha kayapatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…