Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Sasa heshima unaivunja wapi na kwa sababu zipi?Af kaka bhna ww unataka nikuvunjie heshima wakat tunaheshimiana vyema sana
Sasa heshima unaivunja wapi na kwa sababu zipi?Af kaka bhna ww unataka nikuvunjie heshima wakat tunaheshimiana vyema sana
Nitakupa formula wala usijaliwe mimi nataka formula hayo mengine achana nayo
Duh nachaoia
Thubutuu
We SI mwenyekiti wa chama Cha mkono bao🤒🤒 mshamba_hachekwiah wapi mwachiluwi ana mchumba tayari😂
nimebaki mimi tu
Kwema bro?? Jack PalladinoUnatumia kinywaji gani hapo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naenda [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
haya bana mzee wa miosho mbalimbaliNitakupa formula wala usijali
Duh nachaoia
we chapa kazi, vibinti ni vitamu siviachi ng'o😅
Na uli jiita genius wa malavuness🤒🤒, sa hivi ni zaidi ya nyuki wa makaburini 🤒we mimi nataka formula hayo mengine achana nayo
Njoo niku uzie formula unayo taka, I'me thibitishwa na Adam Smith, na John Nash, 🤒🤒we chapa kazi, vibinti ni vitamu siviachi ng'o😅
hahha nachagua simu akili inanivurugaUnatumia kinywaji gani hapo?
Ahhahha duh acha tu nimevurugwa akili niliibiwa simu hapa natafuta simu wananitajia bei zaa ajabuKwan una haraka za wapi baba Paroko [emoji1787][emoji1787]
Kuna Google pixel 4 350k, free deliveryAhhahha duh acha tu nimevurugwa akili niliibiwa simu hapa natafuta simu wananitajia bei zaa ajabu
Ndio naingalia hapwKuna Google pixel 4 350k, free delivery
Wame kuambia Bei gani-??Ndio naingalia hapw