Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,432
Oya tajiri usiye na baya. Ka Bonanza ketu saa ngapi😂😂Sijaona
Kaandika nini na wapi huko?😁😁😁
Acha akasome
Oya tajiri usiye na baya. Ka Bonanza ketu saa ngapi😂😂Sijaona
Kaandika nini na wapi huko?😁😁😁
Acha akasome
Nimekuita angalia notification vizurSijaona
Kaandika nini na wapi huko?😁😁😁
Acha akasome
😂😂😂😂😂Kijana anatafuta ku re-do huyu
Anataka kupambana na ma lectuler wake
Mshauri atazeekea chuo
Acha woga pambanapm napaogopa sio pa mchezo mchezo😅
huyu ana maneno mengi mpuuzie[emoji28]
jamani😅 umeanza ukorofiNishakua star mwenzio bila kunitaja huwez kukick kirahisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kijana kapigwa beat na lectuler wa mchongo kalala mbele🤣🤣😂😂😂😂😂
Punguza jazba
Kijana akifanya utani huyu elimu kwishaaa
Ujue nakudai ww
Ukiweka tena na-mindHunishindi mimi udugu wangu, niko busy sana kuna issue naifanya [emoji8]
Nina selfie za kibabe kabisaa nikitulia nakiwasha humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpaka naingia kanisan naiwazaHausahau nawee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole shogaaaaa....hope upo salama vioo havijavunjwa
😁Ukiweka tena na-mind
Mpaka naingia kanisan naiwaza
we simp unaharibu nyuzi za watuUkiweka tena na-mind
Qhahah sawa na nikipokea nitasellfika hapaBaba Paroko taratiibu ebu sali zawadi yako ipo!! Mimi sinaga uswahili kabisaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ampe nin?we simp unaharibu nyuzi za watu
Cc CountrywideAhsante shogare angu, now I’m single hekaheka za vioo zimepoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
dah, yule dogo aliyekuselfisha ndo kasababisha yote haya😂😂😂😂😂😂
Huyu njiwa anahangaika kama hapo kashapotea kiota
Kaka angu mbea weww hahahahah 🤣