Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyu mannequin kanichekesha sana.

Nilimkuta kwenye Nike retail store.

Dizaini vibonge walilalamika kuwa huwa hawawakilishwi kikamilifu ilhali na wao ni wateja wakubwa wa Nike.

Nike wakaona isiwe tabu. Ngoja turidhishe wateja wetu wa size na rangi tofauti.

Mannequin ni chibonge halafu mweusi. Hahahaha. Funny 😄

 
Rangi Kama yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…