Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wanateseka sio kidogo uduguuu!! Yani maisha ya mtu asiewahusu hata robo ila wanateseka vibaya sana...Kila leo wanawaza la kukuzushia humu ili tu uonekane hovyo !! Wanapata tabu sana kiukweli!

Mimi nakwambia watukane ooh! Bora wote muonekane vichaa kwan kuna anayekujua?!!
 
Nyota yako nzuri ndiomana unaandamwa udugu, ingekua imefifia usingekua unatajwa kila muda
Mie humu nadisiwa Long time kitrambooo udugu mwenyewe sasa nilivo na roho ya kikurya!!🤣🤣🤠🤠!! Walaa siteterekii!!
Tena nivokuja selfika navosemwa ndio usiseme sasa!

Nacheka kama mazuri vilee!
 
Hahahhahaha jamani,
 
Hahahahahah eti visa vya walimu,
 
Wapi udugu story za kuambiwa tuu mtu anashaukwa anakutungia maneno unabaki kushangaa tu!

Kweli udugu hakuna watu wanachanganyikiwa na ndoa km walimu. Walimu ukiwakuta story zao Mr kafanya hivi, Mr kafanya vile

Mimi nawashauri wanaume wanaotaka mitaji wadate walimu, wanaenda kuombewa mikopo buree kazi yake ni kumbebisha nitakuoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…