spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,136
- 21,874
Umeona uje untaje ukuVijana wa siku wa ovyo sana Leo nilienda kidispensary kimoja hivi π
Nimeanza kupewa vikaratas vya namba mapokez,nimeingia Kwa Dokta nikaelekezwa maabara nmepimwa wa maabara kanipa namba nimpigie ππnimerudi Kwa Dokta nimepewa namba Tena ππ
Sijui nianze kumpigia yupiππndo maana Ukimw hauish
Antonnia
ananijaribu yaaniBa mdogo[emoji4][emoji1783][emoji1783]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£! Afu hijabu lilinitroaa kweliii hahahaaa... yule na DPW humwambii kituππ!Shangazi faiza kakutafutia mwarabu wa dp wedi
Wanawapenda wooooteee πWashenzi balaa nimejiuliza ni wanawake wangapi kwasiku wanapendaπππ
Ndio muache tabia mbaya πππUmeona uje untaje uku
Sijui kachanjiwa shangazi yuleπ€£π€£π€£π€£π€£π€£! Afu hijabu lilinitroaa kweliii hahahaaa... yule na DPW humwambii kituππ!
Shuuuli tunayo hatunaaaUduguu usinichekeshe ko tyr ushaniweka kwa Kapachino dah!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi sawa kwakua wewe umepitisha sina neno
Yupo anachambua pm zetu za Jana mnywani.
πππππ!! Akili lazima ziwakae sawa mwakahuu!Hahaha atapata; mbantu Bantu Lady alinipa mbinu ya video call mshikaji wake nisije ku- inniwa tena
Anakudai ya kusuka ujue!! [emoji16]
πππAlafu wote wemnbamba kumbe Wanaume wembamba bhana πWanawapenda wooooteee π
sasa mi nakusaidiaje bro, kwanza unapenda ugomvi ndo maana hupati mchumbaπWe dogo unajifanya hupendi eeh.
We jichetua tu. Mi kuna vitu vinanitia hasira sana π€¬π€¬π€¬ au basi tu.
Au tuufuate ule msemo wa mwanaume anavyozeeka ndo thamani yake huongezeka π π π .
Sio kwamba tukifika miaka 40 tutakuwa na thamani π€£π€£π€£. Aseee
Nimechoka kuwa CHAPUTA mimi π€¬π€¬
Chonka bojooYou are trying me [emoji34]
Anyway, marahaba mamdo hujambo?
Ekyawe kyawe kijunda nokala!
Basi nipe namba ukuNdio muache tabia mbaya πππ
Mie nimekukumbusha tyuu kuwa Chino alikuahidi uduguuu akee ukimfikiria itapendeza sanaa! Hana mapepee kabisa uduguu π!!Uduguu usinichekeshe ko tyr ushaniweka kwa Kapachino dah!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi sawa kwakua wewe umepitisha sina neno
Ttz ni wewe umewavutia sana shida ndio iko hapo ππππAlafu wote wemnbamba kumbe Wanaume wembamba bhana π
Shuuuli tunayo hatunaaa
Atakua chawa wa mama sio bure!πSijui kachanjiwa shangazi yule