Hivi unaogopa nini kutupia wee mrembo??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeshakua boss lady mara hii?!! Wee mimi choka mbaya nakaa vingunguti uswekeni afu mweusi mfupi tii!!! Km usiku wa balaa
Hivi unaogopa nini kutupia wee mrembo??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeshakua boss lady mara hii?!! Wee mimi choka mbaya nakaa vingunguti uswekeni afu mweusi mfupi tii!!! Km usiku wa balaa
Sioni uzi wake si yule anaomba ushauri hasemi jinsiaSasa si unitag nawe nikalione [emoji16][emoji16][emoji16]
shindwaaaaaah, mambo ya kuanza kuitana kaka, eti nilikuwa nakuheshimu kama kaka yanguWewe ndugu yangu tyu kivyovyote hakuna kimasihara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha mzee mapapai yanaongezeka saivi jukwaaniMapapai yamejaa kibao humuu mengine yameamua kujiweka wazi Kabisa!
Pathetic
Yanavyojitutumua sasa kutaka yaonekane mashanabii!Acha mzee mapapai yanaongezeka saivi jukwaani
Ajabu sanaYanavyojitutumua sasa kutaka yaonekane mashanabii!
Afu yanapenda kulalamika sana !
Bahati ya kukutana nazo nnayo
Aiseeee......🙆♂️
🤣🤣🤣 unaniviziaBahati ya kukutana nazo nnayo
Aiseeee......[emoji2297]
[emoji7]shem kama shem[emoji7]
AiseeShem hiyo ya muda huu [emoji1787][emoji1787]
Nina bahati😍, ubarikiwe😂Njooni tuselfike
Ubarikiwe pia Ms eyesNina bahati😍, ubarikiwe😂
macho hayo si haba😂Nina bahati😍, ubarikiwe😂
Zingine kachukua Carasco Putin mzee wa Yolly YollyMoja tu, ndio ambayo nimefanikiwa😍