Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama Saint anne!
Na wewe jamani auntieUsiku mwema.
Ndiyo nimeushajua.Nafikiri umeshaujua,, anyway nakuya sasa hivi tubonge poa..
Huku Mimi nataka nikikua niwe Kama weweHata mimi

Vinywaji vingine ila si pombe.Mbadala wake ungekua nini?



the spirit yoo
Kuhusu pombe?
Ningekuwa nawewe karibu ningekusaidia kuacha hata Bila maombi.
Tatizo nimeweka Mara nyingi mno lol..sikumbuki hata
Yaani angeacha tu..tena nisingetumia nguvu kubwa kumuachisha.the spirit yoo
Vinywaji vingine ila si pombe.
Kuna jamaa ashawahi wekewa kijibaruti kwenye sigara ili aache vuta sigara...Kuhusu pombe?
Ningekuwa nawewe karibu ningekusaidia kuacha hata Bila maombi.



Yaani angeacha tu..tena nisingetumia nguvu kubwa kumuachisha.
Mmmh labda ile ulivaa baibui ya black...kwenye hallway fulani hivi kamaTatizo nimeweka Mara nyingi mno lol..
Inabidi niache Sasa.
Yaani angeacha tu..tena nisingetumia nguvu kubwa kumuachisha.