Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,818
haha Huyu kashapata mbona mkuu.Mkuu time tu hela.. unaweza pata chochote kituuu.. Acha unibishii 😅😅😅😅
Mimi si ndo yule bora nifilisike wa enyoy warembo
haha Huyu kashapata mbona mkuu.Mkuu time tu hela.. unaweza pata chochote kituuu.. Acha unibishii 😅😅😅😅
Cha ukorofi wangu Nuzulati ana dunia yake ya kupambanishwaa sio hawa WA hapa Jf... Uwe na adabuu ,😅😅😅
Upo sawa na naniii kwanzaaa ?
Sasa hatamu yenuu... Hakuna wapinzaniii... [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Zilipendwaaa tuna waheshimu sanaaaaa, Ila wawapisheeee
Utafaidiii 😅😅😅haha Huyu kashapata mbona mkuu.
Mimi si ndo yule bora nifilisike wa enyoy warembo
Sina demu jf.. labda uwe wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Unaanza kuwakana madem zako hapa!!!!
mi ndo ntakua wa kwanza sasa😂Soko la hisa lazima liyumbe🤣😂, Eti uwe CEO Samsung na I phone🤣.
👉Share holders wataku pasuaa🤣😂
nina share kotekote, chaputa na mbususu clan
Emu mpe heshima yake Nuzulati usimchanganye na yoyote humu
Sina demu jf.. labda uwe wewe
Una Kumbuka kilicho ipata ile benki kubwa kule marekani enzi zilee😂🤣.mi ndo ntakua wa kwanza sasa😂
Mbona hueleweki 🙄, au una wajaza vichwa ma new product 🤣😂Emu mpe heshima yake Nuzulati usimchanganye na yoyote humu
basi tukutane tuwe wapenzi maana weye single na mie singleee 😅😅😅Na mimi sina bwana jf ila wapo wa kutaniana [emoji12]
Embu nipe auntiee nizione mimi.
[emoji7]
cha ukorofi Nuzulati nimesema muache halinganishwi na yoyote humu.. huyu ni kama Leo Messi... ana dunia yakeMbona hueleweki 🙄, au una wajaza vichwa ma new product 🤣😂
Sawa auntiee. 😊😉😉Siku nyingine nikilewa tenaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona natuma picha humu ujue kwenye ubongo kuna kitu kimevamia
basi tukutane tuwe wapenzi maana weye single na mie singleee [emoji28][emoji28][emoji28]
Some men like yah, are nuts for real🙄😁cha ukorofi Nuzulati nimesema muache halinganishwi na yoyote humu.. huyu ni kama Leo Messi... ana dunia yake
fala weweee acha kunikaziaaaa mtoto mwa mwanamke mwenzio 😅😅😅Mwenzio nishawaiwa na kibaka mmoja hivi wa kanda ya ziwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]