Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijui hata nimeona

Selfie za ma auntie zangu wazuri yaani nasikia kupagawa kuna wanawake Mungu kawaumba bana. [emoji3][emoji3][emoji3]

Yaani hujutii kabisa kuwa na urafiki nao.

Eeh!! Mbona kawaida tu jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au nikupe za utoto
 
Huyooo kaaa mbali na 750kva... [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]... Humu hizo pisi zimepinduaaa mezaaaa.. hao ndio habari za town.. wengine wastaafu wapewe heshima zao.. na nyakati zao zimepitaaa sasa ni Cute Wife na Missy Gf ... Zama zao

Kah kah kah [emoji119][emoji119][emoji119]

Wewe umelewa eeh ko mnata kustaafisha watu? Mbona wote tupo sawa humu
 
Kah kah kah [emoji119][emoji119][emoji119]

Wewe umelewa eeh ko mnata kustaafisha watu? Mbona wote tupo sawa humu
Upo sawa na naniii kwanzaaa ?

Sasa hatamu yenuu... Hakuna wapinzaniii... 😅😅😅😅

Zilipendwaaa tuna waheshimu sanaaaaa, Ila wawapisheeee
 
Back
Top Bottom