Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahsante chips naziogopa, sipendi kubongeka shem [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ahsante chips naziogopa, sipendi kubongeka shem [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We mbona una mwili wa kawaida mi mwenyewe nazila mara moja moja tu mi mpenzi wa ugali na wali.

Sema namshukuru Mungu hata nileje sinenepi wala nn.

Mungu kanijalia mfumo mzuri sana mwilini. 😀
 
We mbona una mwili wa kawaida mi mwenyewe nazila mara moja moja tu mi mpenzi wa ugali na wali.

Sema namshukuru Mungu hata nileje sinenepi wala nn.

Mungu kanijalia mfumo mzuri sana mwilini. [emoji3]

Nikijiachia nanenepa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Trako km lote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…