Selfika na JF: Snap it. Show it

Shem unavimba

Nguvu unazo lkn tusije kupigwa hapa wewe ukawa wa kwanza kukimbia
🀣🀣🀣🀣

Kati yangu na wao nani anakimbiaga πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Embu acha kunichekesha we kuws huru choko akikusumbua we niambie tu chap.

Unamuogopa stranger wa mtandaoni 🀭🀭🀭 au we shem vipi.

Au nikufate pm useme vizuri maana ww muoga kama kunguru vile πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…