Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaogopa kumkwaa nani??

Ukimkwa mi nipo hapa yente yente [emoji4]

Humu sina adui hata mmoja wote kwangu nawaona vizuri tyu

Sema nisije kuongea kitu mwingine kikamgusa akahisi namsema kumbe mi niko kuongea tyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maana kuna raia zinajistukiaga bila sababu
 
Hio misuliii hioo ankoooo asabtreeeehh!!😍😍

Hakika reo naenda kuraraa usingizi mworoooooroooo kabesaaa!! ( kwa sauti ya kanda maalum☺️!!
Santo sana auntiee mzuri 😘😘 sleep tight.

Hapo nilikuwa nimetoka field choka kinoma. Nikaamua kusnap kidogo.

Sema kuna pisi kali 🀭🀭🀭 ntakusimulia kesho vizuri ulale thatha πŸ€—πŸ€©πŸ˜
 
We....nisikusemeshe ili iweje?? Kalale mara hii!🀨 Ukiamka kesho unisalimie kama kawaida!!!!!!!!😏
πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”
 
Cheka utanue mapafu ankoli akee jf never boring 🀣🀣🀣🀣!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088] eti wanagonganisha nini???

Ongeza sautiiiii
 
Humu sina adui hata mmoja wote kwangu nawaona vizuri tyu

Sema nisije kuongea kitu mwingine kikamgusa akahisi namsema kumbe mi niko kuongea tyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maana kuna raia zinajistukiaga bila sababu
🀣🀣🀣🀣 We sema ilimradi ni UKWELI.

Kwani kuna shida??? Sasa ukiwa muoga nyuma ya keyboard face 2 face itakuwaje sasa.

We sema mtazamo wako upo free hapa.

Na upo na shem wako 😎
 
Kwa nini mtu ufunge pm kwamba mtu atashika mkono wako lazima ujibu chochote huko pm ni kutokujiamini πŸ€·πŸΌβ€β™€οΈ
 
Santo sana auntiee mzuri 😘😘 sleep tight.

Hapo nilikuwa nimetoka field choka kinoma. Nikaamua kusnap kidogo.

Sema kuna pisi kali 🀭🀭🀭 ntakusimulia kesho vizuri ulale thatha πŸ€—πŸ€©πŸ˜
Auweeeeehh!! Eagerly waiting ankoooo !!

Ankalii ushasema mi ninani hata nikupinge lol!!πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ˜΄πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ’€πŸ’€πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄πŸ˜΄!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088] eti wanagonganisha nini???

Ongeza sautiiiii
Masubaruuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…βœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈ
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We sema ilimradi ni UKWELI.

Kwani kuna shida??? Sasa ukiwa muoga nyuma ya keyboard face 2 face itakuwaje sasa.

We sema mtazamo wako upo free hapa.

Na upo na shem wako [emoji41]

Shem unavimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3]

Nguvu unazo lkn tusije kupigwa hapa wewe ukawa wa kwanza kukimbia
 
Kwa nini mtu ufunge pm kwamba mtu atashika mkono wako lazima ujibu chochote huko pm ni kutokujiamini πŸ€·πŸΌβ€β™€οΈ
✌️✌️✌️✌️ Umemaliza cha ukorofi Nuzulati ...

Na ulivyo mrembo mzuri.. ungekuwa wa Kwanza kufunga PM.. uzuri weyeee akili kubwaaa Mungu.. alafu mashalaaaaaa... mrembo mzuri ... Alafu unajiamini na ukorofiii juuu
 
Ahsanteeeeeeeeeeeee
Nakutumia picha kwa ulivyonifurahisha ila usinichambe sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😊😊😊 Mambo si ndio hayaaaa sasa.. wewe moja ya superwoman w JF hubabaiki.. na wavimba machoo..✌️✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…