Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wanao funga PM wanaonaga wameyapatia maishaaa ya JF... Kumbe πŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄
Hahaha eti waliofunga pm hamna mtu ambaye hachat pm.

Tena mi nacgat na wengi waliofunga pm.

Mbona zitafunguka tu ila uwe tu mtu wa maana sasa kuwa mjinga mjinga uone kama utaweza fungua pm ya,,,,,,,,,,,, hivi hivi.

Weee si mchexo
 
Siwezi kuwaleta hata mtu anikwaze, kwanza wananiongezea siku za kuishi JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shem hujambo nimependa komwe lako.

Una sura nzuri kweli hongera 😎😎😍
 
Hahaha eti waliofunga pm hamna mtu ambaye hachat pm.

Tena mi nacgat na wengi waliofunga pm.

Mbona zitafunguka tu ila uwe tu mtu wa maana sasa kuwa mjinga mjinga uone kama utaweza fungua pm ya,,,,,,,,,,,, hivi hivi.

Weee si mchexo
Aaah! Wapiiii... Kuna wanao jisikiiaaa akifunga anahisi yupo mawinguni... Hadi kuna magume gume kambale yanafungaaa... Ingawa kuna totoz zikifunga unasema saaaaaaaawaaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…... Kama mzuri mzuri Antonnia huyuu sawa afungeee.. maana lol
 
Utani wa ngumii huu mjombaaa!!😊

Sema wee komaa nao ivoivoooo banaa tatizo unapanic haraka mjomba wangu warembo nenda nao aste asteee mjombaa! !
Wakafe mbelee 🀣🀣🀣🀣

Acha nisogee hapo Kati kwanzAAA
 
Wee mimi lishangazi sio kitoto tuheshimiane [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu kwa selfie nilizoziona JF hakuna watoto, sema wengine miili imedumaa lkn wakubwa [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Nione Ka upo lishangazi sasa 😎😎
 
Kuna ukweli hapo. Ila mi navyojua

Shida kuna pisi kali hazijafunga pm na uthibitisho ninao. Na kuna wabovu wamefunga pia hivyo hapo haieleweki ila kama kaamua ni uhuru wake

Ili mradi hali kwako it's ok
 
Wee mimi lishangazi sio kitoto tuheshimiane [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu kwa selfie nilizoziona JF hakuna watoto, sema wengine miili imedumaa lkn wakubwa [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
"Miili imedumaa" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜!!!

uduguuu una utani wa ngumii wewwe khakhakhaaaa!!
 
Mmeanza kunijaza mjombaaa Nararaa mimii😌😌😌😌😌!!
 
Kuna ukweli hapo. Ila mi navyojua

Shida kuna pisi kali hazijafunga pm na uthibitisho ninao. Na kuna wabovu wamefunga pia hivyo hapo haieleweki ila kama kaamua ni uhuru wake

Ili mradi hali kwako it's ok
Wakafe mbelee... Siku akifunga mtoto mzuri mrembo Dr Lizzy ndio nitakubaliana na hoja yakoo... Alafu MTU kufunga PM ni kutojiamini tuuuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…... Kama unajiamini hubabaiki na messages za watu.. ndio maana huwa namkubali Sana cha ukorofi Nuzulati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…